Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia jibu sahihi zaidi
Shamba ___1___ babu yangu liko kijijini. Kila likizo ___2___ huko kumsaidia kupanda mazao. Babu hupanda mahindi, maharagwe ___3___ viazi. Yeye husema kuwa kilimo ___4___ kazi muhimu sana kwa maisha.
Mwaka huu mvua ___5___ vizuri, kwa hivyo mazao ___6___ vizuri. Tutavuna mahindi mengi ___7___ tutayauza sokoni. Babu ___8___ kuwa atanipa sehemu ya pesa ___9___. Nilifurahi sana ___10___ nikamshukuru kwa wema wake.