Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia jibu sahihi zaidi
Jana usiku, mvua kubwa ilinyesha kijijini. Watu waliingia ndani ya nyumba zao. Ng'ombe ___1___ funga zizini ili wasilowe ___2___ maji ya mvua.
Asubuhi, jua lilichomoza tena. Watoto walitoka nje ___3___ kucheza. Wao hupenda kucheza kwenye matope baada ___4___ mvua. Mama ___5___ waambia wasichafue nguo zao.