Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia jibu sahihi zaidi
Shambani ___1___ babu kuna miti mingi ___2___ matunda. Babu alipanda miembe, michungwa na mipapai. Kila siku yeye humwagilia mimea ___3___ maji.
Ndege wadogo huja kula matunda yaliyoiva. Babu hufurahia kuwaona ndege hao. Yeye husema kwamba ndege husaidia kueneza mbegu ___4___ shamba ___5___.